Changamoto ya Kuunda chama cha Pwani
Viongozi wanaoegemea mrengo wa naibu wa rais hapa pwani wanadai kuwa gavana wa kaunti ya Kilifi Amason Kingi hana uwezo wa kuunda chama cha pwani.
Viongozi wanaoegemea mrengo wa naibu wa rais hapa pwani wanadai kuwa gavana wa kaunti ya Kilifi Amason Kingi hana uwezo wa kuunda chama cha pwani.
Mwanahabari wa Radio Rahma Faiz Musa ameshinda tuzo la uandishi wa makala bora ya mazingira nchini.
Idara ya polisi eneo la Tana Delta kaunti ya Tana River imeanzisha mpango wa mafunzo ya sheria za barabarani kwa wahudumu wa bodaboda wa eneo hilo.
Mwakilishi wa wanawake kaunti ya Lamu Ruweidah Obo amewahimiza wakaazi wa kaunti ya Lamu hususan Lamu Mashariki kuunga mkono ripoti ya BBI ili kulinda eneo bunge hilo.
Mbunge wa Mvita Abdulswamad Sharif Nassir ametoa makataa ya wiki mbili kwa kamati ya bunge la kitaifa inayohusika na masuala ya usalama kuchunguza tukio la kupigwa risasi kwa watu watatu eneo la Kaloleni hapa jijini Mombasa.