Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi Wafula Chebukati, amepuuzilia mbali madai kwamba kuna njama ya wizi wa kura wakati wa uchaguzi mkuu ujao.