Shirika la ndege la Skyward Express limetangaza safari zake za zaida za ndege za Mombasa na Ukunda.

Shirika hilo limesema limechukuwa hatua hiyo kufuatia ongezeko la mahitaji ya safari za Mombasa na Ukunda.

Limewataka wateja wake kuweka nafasi na kulipia tikiti zao kwenye tovuti yao ya www.skywardexpress.co.ke.

Mabadiliko hayo ya ndege yataanza  Disemba 28 mwaka huu hadi January 3/2022.