Kikundi cha Kishoka Youth cha chaingia kwenye kinyang’anyiro cha makundi ya kulinda mazingira duniani
Kikundi cha kulinda mazingira cha Kishoka Youth kilichoko eneo la Mtongwe,ndicho kikundi cha kipekee kutoka eneo la Pwani ambacho ni miongoni mwa makundi 13 bora yaliyoorodheshwa kwenye kinyang’anyiro cha makundi ya kulinda mazingira duniani maarufu kama Grade of Greens.