Jamii yashauriwa kuwafuga wanyama kwenye mazingira bora
Usafirishaji wa wanyama kwa njia isiyofaa ni moja wapo ya dhulma ambazo wanafanyiwa wanyama humu nchini.
Usafirishaji wa wanyama kwa njia isiyofaa ni moja wapo ya dhulma ambazo wanafanyiwa wanyama humu nchini.
Shirika lisilo la kiserikali la Novel Perspective Kenya, linasisitiza haja ya mikakati ya kudumisha haki na Amani katika jamii kwani viongozi wa dini wanagonganisha wakaazi.
Serikali ya kitaifa yazidi kushinikizwa kufungua anga zake kwa shirika la ndege la Uturuki ili kuhakikisha idadi ya wageni wa kimataifa wanaokuja Kenya inaongezeka maradufu.
Serikali ya kaunti Mombasa inalenga kufanya zoezi la matibu ya bure katika Wadi 30 zilizopo katika kaunti ya Mombasa kuanzia mwezi huu wa Mei.
Rais William Ruto amemteua aliyekuwa gavana wa Bomet Isaac Ruto kuwa mwanachama wa tume ya huduma za mahakama kuwakilisha umma.