Bunge la Taita Taveta kuongeza mgao wa basari kwa wadi
Bunge la kaunti ya Taita Taveta linanuia kuongeza mgao wa basari kwa Wadi kutoka shilingi milioni 100 hadi milioni 200.
Bunge la kaunti ya Taita Taveta linanuia kuongeza mgao wa basari kwa Wadi kutoka shilingi milioni 100 hadi milioni 200.
Usafiri unaendelea kutatizika katika maeneo ya mashinani kaunti ya Kilifi.Nauli kutoka mjini Kilifi kuelekea Ganze na Bamba imeongezeka maradufu kutokana na kuharibika kwa barabara ya eneo hilo.
Watoto saba kati ya tisa ambao miili yao ilitolewa katika msitu wa Shakahola, na baadaye kufanyiwa uchunguzi wa maiti, walifariki kutokana na njaa.
Wakaazi wa kaunti ya Lamu wamehimizwa kuchukua tahadhari za kiafya ili kujikinga na maradhi mbalimbali msimu huu wa mvua.
Mradi wa Mombasa ni yangu unaondelezwa na serikali ya kaunti ya Mombasa unaiwezesha kaunti kufaulu katika kupambana na masuala ya dharura na hata kupunguza uhalifu.